Universal Day of Afrika Chapter 1

 AVAILABLE NOW READ FOR FREE

Universal Day of Afrika

Sura ya kwanza.

Soma hapa makala ya kitabu cha Universal Day Of Afrika Kila wiki.

Kitabu hiki ni mawazo ya mtoto wa Afrika kwa namna ambavyo Afrika apenda iwe Siku za usoni karibu tusome kwa pamoja na kujadili kwa pamoja.


Karibu tutakuwa na series ya Kitabu hiki bule ruksa kusoma, kuuliza kucoment pia kushare kwa wapendwa wako, karibu Sana hivi punde tutaanza kukipost hapa au unaweza  Bofya na Download Apa Kununua , Lakini Sasa tumeshaanza kupost na hii ni sura ya kwanza.
Twende pamoja tusome pamoja

Universal Day Of Africa

CHAPTER ONE.
Kitabu cha Universal Day of Afrika, Kama kilivyoandikwa na mwandishi Ambrose Nyoni mwaka 2022 baada ya kristu karne ya 21, enzi hizo.
Mwandishi anaanza kuiandika "SIKU KUU YA AFRIKA" katika kitabu hiki cha Siku kuu ya Afrika, kwa sauti kuu akisema siku SIKU KUU YA AFRIKA, mimi na wewe kuwa wenye furaha Eeeh! mkuu Afrika, unaielewaje filosofia ya mabadiliko ya ukuu wa maendeleo yako?

Ninaamini ulikuja Afrika kwa matakwa yako, kwa hiyo unaishi Afika na lengo lako lililokuu lilikuleta Afrika, hivyo waishi Afrika na lengo lako ni.

katika Hali zote hizi mbaya, unatakiwa uzitatue zote na uwe, uyapate au uyafikie, maendeleo makuu, makubwa na yalio kamilika yenye ukamilifu, lakini katika wema, na viumbe wote wajivunie uwepo wako, Eeh! Afrika uliyemkuu.

Nitakukumbusha, Kabla haujaja Afrika uliamini utashinda, hakika utayatatua yote Kama tu yalivyo mahesabu aina ya swali la kimahesabu kwako Eeh! Afrika uliyetukuka.

Kitabu cha Afrika mwaka 2022 Sikuu kuu ya Afrika, tar 27 ya mwezi wa sita kila mwaka, Mimi mwaaafrika ninaumba leo hii Siku kuu ya Afrika Kwetu, Afrika inawatakia ukuu na nguvu na furaha na maendeleo, afya, amani na umoja kwa wa Afrika wote na dunia nzima.
Uwe na Siku kuu yenye furaha Eeh! AFRIKA ULIYETUKUKA.

+**.................................................**+

Mwisho wa Sura ya kwanza ya kitabu cha Siku Kuu ya Afrika endelea kusoma ufafanuzi wa sura hii hapa chini.

Maana na tofasiri.
Hapa mwandishi anaonesha ni namna gani anawapenda, ndugu zake Afrika pamoja na ndugu wote waishio katika dunia.
Hapa anaonesha kabisa anawaone wivu wa maendeleo kwao anashangaa nikwanini Afrika hauna maendeleo uliyostahili.
Lakini Kama ilivyo kwa kila kitu lazima kiumbwe, anaiumba siku hiyo anatamani mue na siku hiyo iliyokuu Afrika nzima, pale anaposema MIMI MUAFRIKA NINAUMBA LEO HII SIKU KUU YA AFRIKA, alimanisha kwamba   si tu kazi bali lazima uliumbe jambo hilo ulitakalo ndani yako katika kila ubongo wa kila aliye Mu Afrika lazima liwemo katika akili na moyoni mwako ili liweze onekana katika Hali halisi, ulimwenguni.
Hapa anatamani Mfurahi muwe na furaha na nguvu na afya, siku hii akiisha kuiumba hamanishi iwe kwa tar hiyo tu Ila wa Afrika wawaze wafikilie na kupendekeza tar waipendayo kufanya Siku ya furaha Afrika nzima, lakini siku hiyo anapenda muwe nayo.

Anajaribu kukuambia kuwa kitokeacho chochote, kiumbikacho chochote popote huanzia kwanza rohoni, kwa Hali yoyote maanisha kabisa kwanza rohoni.
Si tu Afrika bali kila atakae mafanikio lazima aiumbe furaha maishani mwake ubnafsi si lengo lenu ndio maana akasema na iwefuraha kwenu ninyi na dunia nzima.
Lakini pia mwandishi anawasisitizia kuwa nyie si hivyo mlivyo bali nyinyi mu wakuu kuliko mnavyojifikilia.
****Asante Sana****

Usisahu kufollow blog yetu ili upate updates mbali mbali tutakapo post makala itakayofuata.

LINK ZA EMB BOOK STORE & EMB SYATEMS
Kama utapenda kusoma kabla ya makala inayofuata  bofya hapa

Click hapa chini kupakua Audio yake

TAARIFA
Hallow Wana blog hatutaweza kupost kitabu hiki hapa kuwa muda kidogo badala yake ka sikiliza au download bule kabisa Audio ya kitabu hichi Universal day of Afrika hapa chini.

Vitabu vingine vya soft na Audio kutoka Emb book store

Mifumo kutoka Emb Systems pia ipo. Pakua hapa mifumo mbali mbali itakayokuwezesha kufanya miladi yako mbali mbali ukiwa Offline tu, kuangalia ni Bure. Bofya hapa Kuangalia Mifumo hiyo

ASANTE SANA WAPENDWA

EMB BOOK STORE 

TUNAWAPENDA SANA

Chakufanya jitahidi utufollow ili upate updates kila tutakapoposti 

KUMBUKA BOOKS HAVE BRAINS

Usitoke bila kutoa comment P'se

Comments

Popular Posts