THE HOLY BIBLE

BIBILIA KWA SAUTI SIKILIZA

Sikiliza Biblia Takatifu kwa audio fomat upakue ukabarikiwe kwa kusikiliza maneno ya baraka ya sheria za kitabu kitakatifu cha Mungu Mkuu, 

Mungu awalinde na kuwabariki siku zote za Maisha yenu, Asante Bwana Mungu wetu, namshukuru Sana Mungu kwa ajili yenu na kwa kuwaweka pamoja nami, Mungu Mkuu Awabariki Sana Sana. Amina, Siku zote za maisha yenu muwe Baraka.

Pakua na usikilize hapa chini

1.Mwanzo

2.Kutoka

3.Walawi

4.Torati

Comments

Popular Posts