Skip to main content

Posts

Featured

TIBU - UTI

  NAMNA YA KUTIBU NA KUTATUA TATIZO LA UTI/UTI SUGU. My Views MAANA : UTI Ni ugonjwa unaoathili sehemu za siri za watu, ambao huanzia kwenye mfumo wa haja mdogo na baadae mifumo ya sehemu za siri na za uzazi za wanaume na wanawake baada ya kupata maambukizi ya bacteria mbalimbali wasababishao UTI. Sababu za Maambukizi :  UTI husababishwa na bakteria wengi tofauti ambao huathiri sehemu za haja ndogo japo huweza sambaa Hadi sehemu za siri za mgonjwa mwenye ugonjwa huo hasa Kama ni UTI kali Sana au Sugu.,  Vipimo na uchunguzi: Vipimo na uchunguzi wa ugonjwa wa UTI hufanyika kwa kuangalia vyote dalili za UTI na vipimo vya Maabara, mfano, Kipimo cha MKOJO, na maumivu sehemu za njia ya mkojo ni moja kipimo na dalili za ugonjwa huo. Kwa hiyo ikiwa ukipata dallili zifuatazo fika kituo cha huduma kupima na kupata matibabu au kufanya uchunguzi zaidi. DALILI ZA UGONJWA WA UTI Mgonjwa au mtu mwenye ugonjwa wa UTI atapata moja ya dalili zifuatazo au zote. 1.Maumivu wakati wa kukojoa. 2.Muwasho seh

Latest Posts

POEM BOOK

THE BOOK OF LAW 1

Universal Day of Afrika Chapter 1

TRUE 💓LOVE BOOK 1

THE HOLY BIBLE

INTRO TO EMB BOOK STORE